Mkufunzi ii (daktari wa mifugo) Jobs in Livestock Training Agency (LITA) Tanzania vacancies in Tanzania at Livestock Training Agency (LITA)


POST MKUFUNZI II DAKTARI WA MIFUGO - 4 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Livestock Training Agency LITA
APPLICATION TIMELINE 2021-06-08 2021-06-21
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kutafsiri mitaala na kufundisha ngazi ya NTA Level 4-6,

ii.Kutunga na kusimamia Mitihani ya upimaji na na mitihani ya mwisho wa
muhula,

iii.Kuandaa “Training materials” na learning resources” na kuwapatia
wanafunzi,

iv.Kuwasimamia na kuwasaidia wakufunzi wasaidizi,

v.Kusimamia mafunzo kwa vitendo vyuoni na uwandani,

vi.Kutambua mahitaji ya wanafunzi wenye uhitaji maalum na kuwasaidia,

vii.Kutoa mafunzo na ushauri kwa wafugaji na wadau wengine katika sekta ya
mifugo,

viii.Kuandaa na kusimamia midahalo ya masomo ya wanafunzi,

ix.Kufanya tafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau wengine na;

x.Kufanya kazi zingine zitakazotolewa na viongozi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Awe amehitimu shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka chuo Kikuu
cha Sokoine cha Kilimo SUA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali na
kusajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania VTC. Awe amefaulu kwa angalau
wastani wa alama B katika masomo yake yote.

REMUNERATION PTSS 11

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application Through









URL Link to Apply


Mkufunzi ii (daktari wa mifugo) Jobs in Livestock Training Agency (LITA) Tanzania vacancies in Tanzania at Livestock Training Agency (LITA)


Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog