Kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/205/01 “F” c/91 cha
tarehe 22/08/2017 pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira mbadala kwa watendaji wa Vijiji na mitaa chenye Kumb Na, CFC.26/205/01/”GG”/95 cha tarehe 12/03/2018 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo
1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 98
A. KAZI NA MAJUKUMU

– afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
– Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
– kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
– katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
– kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
– kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
– Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nayaraka za kijiji
– kupokea na kusikiiza na kutataua malalamiko na migogoro ya wnanachi
– kiongozi mkuu wa vintego vya kitaalamu katika ngazi ya Kijiji
– kusimamia kukusanya na kuhifadhi kumbu kumbu zote z na nyaraka za Serikali ya Kijiji
– kutekeleza shughuli nyingine atakayopangiwa na mwajiri

B. SIFA NA UZOEFU

– awe na elimu ya kidato cha 4 na 6
– Awe amehitimu mafunzo ya atashahada/cheti (NTA LEVEL 5)katika moja ya fanai zifuatazo
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali

C. NGAZI YA MSHAHARA

kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGS B1

MASHARTI YA JUMLA

i. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na umri usizidi miaka 45
ii. barua imbatanishw wasifi binafsi wa hivi karibuni, ananuani anayotumia namba ya simu yna anuani ya barua pepe
iii. mabua ya maombi iambatane na vivuli vya vyeti vilivyothibitishwa ambavyo ni
– vivuli vya vyeti vya kidato cha 4
– kivulicha cheti cha NTA LEVL 5 kwa vyuo vilivyopo chini ya NACTE
– KIVULI CHA CHETI CHA KUZALIWA
iv. waombaji wawe wenye sifa na uzoefu uliotajwa kwenye tangazo hili la kazi
v. picha 2 ndogondogo passspor size za hivi karibuni
vi. matokeo ya muda havitakubaliwa
vii. waajiriwa wa serikalin maomb ya barua yapite kwa waajiri wao
viii. waombaji watakao leta maombi na vyeti vya kughushi hatua za kisheria zitachukuliwa
ix. waombaji wa makundi maalum wanashawishiwa kuomba
x. waombaji wenye vyeti vya kidato cha 4 na 6 nje ya nchi vifanyiwe uchunguzi NECTA na majibu yaambatanishwe
xi. waombaji wenye diploma na cheti vya nje ya nchi vifanyiwe linganishi na NACTE na majibu yaambatanishwe
xi. waombaji wenye wasifu bibafsi watatakiwa kuweka wadhamini watatu
xii.barua ya maombi inandikwe kwa kiswahili au kingereza
xiii.mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/04/2018

Barua zitumwe kwa 
Apply Online Through


Mkurugenzi Mtendaji,

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba,
S.L.P 03,
TANDAHIMBA


Thanks For Visiting 
Warning ⇶ Don't Pay Money To Get A Job