Jobs in Bariadi Tanzania Halmashauri Ya Mji Bariadi Jobs in Bariadi Msaidizi Wa Hesabu Jobs in Bariadi at Halmashauri Ya Mji Bariadi Msaidizi Wa Hesabu Employment opportunities Halmashauri Ya Mji Bariadi




POST MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST

POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Mji Bariadi
APPLICATION TIMELINE 2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandika na kutunza register zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii. Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;

iii. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;

iv. Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu Benki;

v. Kufanya usuluhisho wa masurufu,karadha,Hesabu za Benki na Amana; na

vi. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambulika na
Serikali au cheti cha ATEC level I kinachotolewa na NBAA, au sifa nyingine
zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
REMUNERATION TGS B



Apply Online today









URL Link to Apply

[ ** Submit your CV and Application on Company Website Click Here **
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3101

Closing Date 14th September, 2020.



Jobs in Bariadi Tanzania Halmashauri Ya Mji Bariadi Jobs in Bariadi Msaidizi Wa Hesabu Jobs in Bariadi at Halmashauri Ya Mji Bariadi Msaidizi Wa Hesabu Employment opportunities Halmashauri Ya Mji Bariadi


For more jobs in Tanzania visit mkaguzi.blogspot.com