Afisa misitu daraja la ii Jobs in Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Tanzania vacancies in Tanzania at Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga


POST AFISA MISITU DARAJA LA II - 1 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga
APPLICATION TIMELINE 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kusimamia upandaji na uhudumiaji wa miti na misitu;

ii.Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa isiyozidi hekta 5,000 au ya
asili isiyozidi hekta 10,000;

iii.Kufanya utafiti wa misitu;

iv.Kutekeleza Sera na Sheria za misitu;

v.Kuendesha mafunzo ya Wasaidizi wa Misitu;

vi.Kukusanya takwimu za misitu;

vii.Kufanya ukaguzi wa misitu;

viii.Kupanga na kupima madaraja ya mbao;

ix.Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti;

x.Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi
endelevu ya miti na misitu kwa wananchi;

xi.Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu; na

xii.Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au
Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application Through









URL Link to Apply


Afisa misitu daraja la ii Jobs in Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Tanzania vacancies in Tanzania at Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga


Welcome back to Mkaguzi Blog