NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT) Carreer opportunities in Tanzania Mkaguzi wa daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT)


POST MKAGUZI WA DARAJA LA II - 10 POST

POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER NATIONAL AUDIT OFFICE NAOT
APPLICATION TIMELINE 2021-05-21 2021-06-03
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi
maalum na mapato ya Serikali;

ii. Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi wa ukaguzi
kila mwaka;

iii. Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko
inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji ya mpango wa kazi;

iv. Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa
wakati unaotakiwa;

V. Kushiriki kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi Audit Programme;

VI. Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi;

VII. Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; na

VIII. Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake
kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

-->Wahitimu wa Shahada ya Biashara/Sanaa yenye mwelekeo wa uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu Advanced Diploma in Accounting kutoka vyuo au taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.


REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Now Through









URL Link to Apply


NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT) Carreer opportunities in Tanzania Mkaguzi wa daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT)


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog