Msaidizi wa hesabu daraja la ii Jobs in Ministry of Finance and Planning MOF Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Finance and Planning MOF
POST MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II - 1 POST
POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Ministry of Finance and Planning MOF
APPLICATION TIMELINE 2021-05-10 2021-05-24
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandika na kutunza Regista zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii. Kutunza kumbukumbu za hesabu;
iii. Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
iv. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambuliwa
na
Serikali au cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine
zinazolingana na
hizo zinazotambuliwa na NBAA.
REMUNERATION TGS B
Login to Apply
Please see how to apply below
Read and Apply Now Through
URL Link to Apply
Msaidizi wa hesabu daraja la ii Jobs in Ministry of Finance and Planning MOF Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Finance and Planning MOF
Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog
0 Response to Msaidizi wa hesabu daraja la ii Jobs at Ministry of Finance and Planning MOF