Mhandisi ii ujenzi (building) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala z


POST MHANDISI II UJENZI BUILDING - 90 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI
APPLICATION TIMELINE 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya
Usajili ya Wahandisi Professional Engineer ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii. Kufanya ukaguzi wa majengo mbalimbali;
iii.Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa majengo;
iv.Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya majengo;
v. Kusimamia na kuratibu kazi za majengo zinazotolewa na Makandarasi; na
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika ujenzi
wa Majengo Bachelor of Science in Civil Engeneering - Building kutoka katika
vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Online today









URL Link to Apply


Mhandisi ii ujenzi (building) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala z


Welcome back to Mkaguzi Blog