Mhandisi ii ujenzi (highway) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala za
POST MHANDISI II UJENZI HIGHWAY - 14 POST
POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI
APPLICATION TIMELINE 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya
Usajili ya Wahandisi Professional Engineer ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii.Kufanya ukaguzi wa barabara na madaraja mbalimbali;
iii. Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani;
iv. Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa barabara;
v. Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya barabara na
madaraja;
vi.Kusimamia na kuratibu kazi za barabara na madaraja zinazotolewa na
Makandarasi; na
vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi walioojiimarisha katika
Ujenzi wa Barabara Bachelor of Science in Civil Engeneering – Highway kutoka
katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS E
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application Through
URL Link to Apply
Mhandisi ii ujenzi (highway) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala za
Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog
0 Response to Mhandisi ii ujenzi (highway) Jobs at Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)