Mhandisi ii ujenzi (structural) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala


POST MHANDISI II UJENZI STRUCTURAL - 146 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI
APPLICATION TIMELINE 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya
Usajili ya Wahandisi Professional Engineer ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii. Kufanya ukaguzi wa barabara na madaraja mbalimbali;
iii. Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani;
iv. Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa barabara;
v. Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya barabara na
madaraja;
vi. Kusimamia na kuratibu kazi za barabara na madaraja zinazotolewa na
Makandarasi; na
vii. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.



QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika
Miundombinu na Uimara wa Majengo Bachelor of Science in Civil Engeneering -
Structural kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application Through









URL Link to Apply


Mhandisi ii ujenzi (structural) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala


Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog