Mhandisi ii (umeme) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na


POST MHANDISI II UMEME - 10 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI
APPLICATION TIMELINE 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya
Usajili ya Wahandisi Professional Engineer ili kupata uzoefu unaotakaiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomuhusu ili kumuwezesha kupata
sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali
ndani na nje ya nchi;

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi project proposals mbalimbali ya ufundi na
umeme yanayowasilishwa Wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme Bachelor of Science in
Electrical Engeneering kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Mhandisi ii (umeme) Jobs in Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Tanzania vacancies in Tanzania at Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog