Kuna kazi mbalimbali za WSP Constructions Group ziliyotangazwa Dec 2017 na WSP Constructions Group.  
Kuna watu wameombwa watume fedha za VISA...etc ili waandaliwe VISA. Hatuna uhakika na maombi hayo kwa sasa kwa sababu tumejaribu kuwasiliana nao ili kujua uhalali wa kuwaomba watu fedha za VISA ila hatujapata majibu mpaka sasa. 
kwa sasa tunaomba usitume pesa yoyote mpaka hapo tutakapo kuwa na uhakika.

Ahsante sana.

Thanks For Visiting 
Warning ⇶ Don't Pay Money To Get A Job