Afisa maendeleo ya jamii daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
POST AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II - 1 POST
POST CATEGORYS SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL
DEVELOPMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
APPLICATION TIMELINE 2021-01-15 2021-01-30
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kushirikisha jamii katika kubuni na kupanga miradi mbalimbali katika kata
wanazofanyia kazi;
ii.Kuongoza na kusimamia utekelezaji wa mpango/miradi ya maendeleo katika kata
zao kwa kushirikiana na katibu katana Maafisa Maendeleo Wasaidizi;
iii.Kufanywa utafiti na kutoa mapendekezo ya namna ya kukabiliana na matatizo
mbalimbali ya maendeleo yanayorudisha nyuma maendeleo ya jamii kwa kwa
kushirikiana na Watumishi wa sekta nyingine;
iv.Kuongoza na kusimamia utendaji kazi wa Maafisa Maendeleo ya Jamii waliopo
katika Vijiji/kata;
v.Kuelimisha viongozi wa serikali za vijiji, viongozi wa dini na viongozi wa
mashirika yasiyo ya kiserikali kuhusu sera mbalimbali za Wizara ya Maendeleo
ya Jamii, Jinsia na Watoto
vi.Kuwawezesha na kushirikiana na wananchi na Maafisa Watendaji wa kata
kufuata ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili kwa kuzingatia shughuli za sekta
mbalimbali;
vii.Kuwawezesha viongozi wa kijiji/kata kutengeneza ratiba za utekelezaji wa
mipango/miradi;
viii.Kukusanya, kutunza, kutafsiri, na kusambaza takwimu na kumbukumbu
mbalimbali kwa ajiri ya matumizi ya jamii;
ix.Kusimamia na kuratibu shughuli za maendeleo ya Wanawake, Watoto na Jinsia
katika kata.
x.Kuhamasisha wananchi kupambana na UKIMWI;
xi.Kuhimiza, kujenga, kujenga na kuimarisha ari ya kufanywa kazi za
kujitegemea katika kata;
xii.Kutoa taarifa za utekelezaji kwa viongozi wa kata na Wilaya;
xiii.Kutayarisha safari za kubadilishana uzoefu kwa viongozi wa ngazi
mbalimbali katika kata au Wilaya na wananchi, ili kujifunza maendeleo ya
sehemu zingine;
xiv.Kueneo Elimu ya Uraia Mwema;
xv.Kuhamasisha wananchi dhidi ya mila potofu kwa afya za wananchi na hasa
wanawake na watoto wa kike
xvi.Kueneza Elimu ya idadi ya watu na maisha ya familia.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
i.Kuajiriwa wahitimu wa shahada ya juu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Chuo cha
Maendeleo ya Jamii, Tengeru, au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali Au
ii.Kuajiriwa wahitimu wa Shahada ya kwa kwanza kutoka Chuo cha Dar es saalam,
SUA, au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali, katika fani ya-
Maendeleo ya jamii community development, Elimu ya jamii sociology,
Maarifa ya nyumbani home economics, Maendeleo vijijni rural development,
Mipango ya maendeleo vijijini rural development planning, Maendeleo ya
Mazingira environmenta and development, Uchumi wa maendeleo development
economics au Maendeleo ya jinsia gender in development.
REMUNERATION TGS D
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application Through
URL Link to Apply
Afisa maendeleo ya jamii daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
Welcome back to Mkaguzi Blog
0 Response to Afisa maendeleo ya jamii daraja ii Jobs in