Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Afisa uvuvi msaidizi daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


POST AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II - 1 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Wizara ya Mifugo na Uvuvi
APPLICATION TIMELINE 2021-01-15 2021-01-30
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi;

ii.Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki;

iii.Kutega mitego Ziwani au Baharini;

iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo;

v.Kuwapa chakula samaki katika mabwawa;

vi.Kuvua samaki katika mabwawa;

vii.Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi;

viii.Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki;

ix.Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa
mazao yatokanayo na samaki; na

x.Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa samaki na mambo muhimu ya
kuzingatia.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada Diploma ya
Uvuvi au Uhifadhi wa Samaki na Masoko Fish Processing & Marketing kutoka
vyuo vya uvuvi vya Mbegani, Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na
Serikali.

REMUNERATION TGSC

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Now Through









URL Link to Apply


Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Afisa uvuvi msaidizi daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


Welcome back to Mkaguzi Blog