Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Carreer opportunities in Tanzania Katibu mahsusi daraja la iii Jobs opportunities in Tanzania at Katibu Tawala Mkoa wa Tabora


POST KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III - 1 POST

POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Katibu Tawala Mkoa wa Tabora
APPLICATION TIMELINE 2021-08-25 2021-09-07
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida ;

ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu

wanapoweza kushughulikiwa.

iii. Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio,miadi,wageni,tarehe za

kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu mkuu

wake kwa wakati unaohitajika.

iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote

kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.

v. Kusaidia kufikisha maelekezo ya mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia

kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi

hao.

vi. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo,

na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.

vii. Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhazili na
kufaulu

mtihani wa Hatua ya Tatu.Wawe wamefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na

Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya

kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti

katika programu za Windows,Microsoft office, Internet,E-mail na Publisher.

REMUNERATION TGS B.

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application Through









URL Link to Apply


Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Carreer opportunities in Tanzania Katibu mahsusi daraja la iii Jobs opportunities in Tanzania at Katibu Tawala Mkoa wa Tabora


Welcome back to Mkaguzi Blog