Jobs in Kasulu Tanzania Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu Jobs in Kasulu Afisa Kilimo Msaidizi Daraja La Ii (Agricultural Field Officers ) Jobs in Kasulu at Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu Afisa Kilimo Msaidizi Daraja La Ii (Agricultural Field Officers ) Employment opportunities Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu




POST AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II AGRICULTURAL FIELD OFFICERS II – 1
POST
POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu
APPLICATION TIMELINE 2020-08-27 2020-09-10
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio; ii.
Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio; iii. Kuwafundisha wakulima mbinu za
kilimo bora; iv. Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti; v. Kuwafundisha
wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za
kilimo; vi. Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo
na mwaka ngazi ya Halmashauri; vii. Kukusanya takwimu za mvua; viii. Kushiriki
katika savei za kilimo; ix. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu
matatizo na teknolojia sahihi za kutumia; x. Kupanga mipango ya uzalishaji;
xi. Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi; xii. Kuwatambua
wasambazaji wa pembejeo; xiii. Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima; xiv.
Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu; xv. Kudhibiti
visumbufu vya mazao na mimea; xvi. Kusimamia shughuli za kila siku za
majaribio ya kilimo; xvii. Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya
udongo na maji; xviii. Kutoa ushauri wa kilimo mseto; xix. Kuandaa sheria
ndogo za hifadhi ya mazingira; na xx. Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga,
matunda, maua na viungo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita VI wenye stashahada ya kilimo kutoka
vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B



Send your Application Through









URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3089

Closing Date 10th September, 2020.



Jobs in Kasulu Tanzania Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu Jobs in Kasulu Afisa Kilimo Msaidizi Daraja La Ii (Agricultural Field Officers ) Jobs in Kasulu at Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu Afisa Kilimo Msaidizi Daraja La Ii (Agricultural Field Officers ) Employment opportunities Halmashauri Ya Wilaya Ya Kasulu


Thank you and dont forget to visit again mkaguzi.blogspot.com