Jobs in Dar es Salaam Tanzania Mkurabita Jobs in Dar es Salaam Mkurugenzi Wa Urasimishaji Wa Rasilimali Na Biashara Jobs in Dar es Salaam at Mkurabita Mkurugenzi Wa Urasimishaji Wa Rasilimali Na Biashara Employment opportunities Mkurabita




Mkurabita

POST MKURUGENZI WA URASIMISHAJI WA RASILIMALI NA BIASHARA – 1 POST
POST CATEGORYS BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES
HR & ADMINISTRATION
LAND MANAGEMENT
MARKETING,MEDIA AND BRAND
EMPLOYER Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge – Mkurabita
APPLICATION TIMELINE 2020-08-25 2020-09-08
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuandaa na kufanya Mapitio ya Miongozo ya urasimishaji wa rasilimali na
biashara kwa ajili ya kutekeleza shughuli za urasimishaji Tanzania.

ii.Kuandaa na kufanya mapitio ya vigezo vinavyotumika kuchagua maeneo ya
utekelezaji wa urasimishaji wa rasilimali na biashara kila mwaka kwa Tanzania.

iii.Kusimamia utekelezaji wa urasimishaji wa biashara kwa Mfumo wa kuanzisha
Kituo Kimoja cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara katika Malmalaka za
Serikali za Mitaa za Tanzania.

iv.Kusimamia utekelezaji wa urasimishaji rasilimali ardhi Mijini na Vijijini
Tanzania.

v.Kubuni, Kuandaa na Kutekeleza Programu za kuwajengea uwezo wananchi
waliorasimisha rasilimali ardhi na biashara zao ili kuzitumia katika kupata
mitaji kutoka Taasisi za fedha kwa ajili ya shughuli za kiuchumi

vi.Kuandaa na kutekeleza Mpango na Bajeti ya kila mwaka kwa ajili ya
utekelezaji wa shughuli za urasimishaji wa rasilimali na biashara Tanzania.

vii.Kubainisha na kutoa ushauri wa utatuzi wa changamoto ambazo zinabainika
wakati wa utekelezaji wa urasimishaji wa rasilimali ardhi na biashara
Tanzania;

viii.Kushirikiana na Mtaalam wa Utafiti, Ufuatiliaji na Tathmini kufanya
Utafiti, Ufuatiliaji na Tathimini ya utekelezaji wa shughuli za urasimishaji
wa rasilimali na biashara Tanzania. Aidha, Mkurugenzi wa Urasimishaji, anao
wajibu wa kufanya tafsiri ya matokeo ya utafiti, fuatiliaji na tathmini na
kuandaa mpango kazi wa utekelzaji wa mapendekezo yanayotolewa;

ix.Kushirikiana na Mtaalamu wa Mawasiliano kwa Umma katika kuhamasisha na
kujenga hamasa kwa wamiliki wa rasilimali na biashara ili waweze kurasimisha
na kuzitumia rasilimali ardhi na biashara zao kwa shughuli za kiuchumi;

x.Kusimamia na kuratibu uaandaji wa taarifa ya utekelezaji wa urasimishaji wa
rasilimali na biashara katika vipindi vya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka
Tanzania;

xi.Kubuni na kusimamia utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayolenga kuboresha
mchango wa ajenda ya urasimishaji katika kukuza uchumi wa nchi na kupunguza
umaskini wa kipato kwa mtu mmoja mmoja;

xii.Kubuni na kusimamia utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayolenga kuchochea
uendelevu wa matokeo ya urasimishaji wa rasilimali na biashara nchini.

xiii.Kazi zingine ambazo atapangiwa na Mratibu wa Mpango;
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

i.Awe na Elimu ya kiwango cha shahada ya Uzamili katika moja ya maeneo
yafuatayo- Uchumi, Uongozi wa Biashara, Ujasiriamali na Usimamizi wa Ardhi.

ii.Awe na Uzoefu usiopungua miaka mitano 5 katika kubuni, kuandaa na
kutekeleza miradi ya maendeleo kwa ajili ya kukuza uchumi na kuondoa umaskini
kwa wananchi wanyonge wa Tanzania.

iii.Awe na uzalendo na uadilifu usio na mashaka na awe tayari kutekeleza
majukumu yake bila usimamizi na mwenye kujituma mwenyewe na awe na uwezo wa
kuongoza na kusimamia wengine.

iv.Awe na uwezo wa kuwasiliana katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza

v.Awe na ujuzi wa komputa kutumia “Microsoft Word, Microsoft Excel na Power
point”

vi.Awe na umri usiozidi miaka 55.
REMUNERATION Ngazi za Mishahara za MKURABITA



Apply Today Through









URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3087

Closing Date 26th September, 2020.



Jobs in Dar es Salaam Tanzania Mkurabita Jobs in Dar es Salaam Mkurugenzi Wa Urasimishaji Wa Rasilimali Na Biashara Jobs in Dar es Salaam at Mkurabita Mkurugenzi Wa Urasimishaji Wa Rasilimali Na Biashara Employment opportunities Mkurabita


Thank you very much for Visiting mkaguzi.blogspot.com