Afisa kilimo msaidizi daraja la iii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
POST AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III - 1 POST
POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
APPLICATION TIMELINE 2021-01-15 2021-01-30
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kushirikiana na Wakulima kuendesha Mashamba ya Majaribio na Mashamba darasa;
ii.Kutembelea Wakulima/vikundi vya Wakulimakatika Mashamba yao na kutoa
ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na za kisasa za kilimo cha kibiashara;
iii.Kufundisha na kuwaeleza Wakulima juu ya matumizi bora ya mbolea, Madawa na
zana za kilimo;
iv.Kukusanya na kutuza takwimu za hali ya kilimo katika Kijiji;
v.Kubiuni na kuandaa vihenge vya kisasa vya hifadhi ya Mazao na kutoa Elimu ya
Matumizi sahihi ya Mazao;
vi.Kutoa taarifa juu ya dalili za kuwepo visumbufu vya mimea na mazao;
vii.Kuandaa na kutumia daftari la kilimo katika kutekeleza majukumu yake ya
kila siku;
viii.Kushiriki katika mchakato wa kuibua fursa na vikwazo vya maendeleo na
kuandaa mpango wa maendeleo ya kilimo wa kijiji; na
ix.Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya kila mwezi na kuiwasilisha kwa Afisa
Ugani wa kata na nakala kuiwasilisha kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne IV wenye stashahada ya kilimo kutoka
vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Today Through
URL Link to Apply
Afisa kilimo msaidizi daraja la iii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog
0 Response to Afisa kilimo msaidizi daraja la iii Jobs in