Fundi bomba Jobs in Muleba Water Supply and Sanitation Authority Tanzania vacancies in Tanzania at Muleba Water Supply and Sanitation Authority


POST FUNDI BOMBA - 3 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Muleba Water Supply and Sanitation Authority
APPLICATION TIMELINE 2021-09-08 2021-09-21
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufungua na kufunga maji kufuatana na ratiba iliyotolewa na Msimamizi wa
Mamlaka;

ii.Kutoa taarifa ya uharibifu wa miundombinu ya maji, kuandaa makadilio ya
matengenezo na kufanya matengenezo;

iii.Kusoma mita za maji na kuandaa Ankara za maji na kuzisambaza kwa wateja;

iv.Kusitisha huduma kwa wateja wasiolipia maji;

v.Kufanya usafi kwenye vyanzo vya maji na matenki;

vi.Kuandaa makisio ya maunganisho ya wateja wapya kwenye mfumo wa malipo ya
maji UnifiedBilling System;

vii.Kuingiza taarifa za wateja wapya kwenye mfumo wa malipo ya maji unified
billing system; na

viii.Kufanya kazi zingine atakazooagizwa na msimamizi wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye elimu ya Sekondari Kidato cha Nne au cha Sita, wenye cheti cha
Ufundi Sanifu II katika fani ya ufundi bomba Plumbing and pipe Fitting toka
Chuo kinachotambuliwa na Serikali. Mwombaji awe na uwezo wa kutumia kompyuta
kwa kutumia program ya “Word, Excel na Power point”.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Now Through









URL Link to Apply


Fundi bomba Jobs in Muleba Water Supply and Sanitation Authority Tanzania vacancies in Tanzania at Muleba Water Supply and Sanitation Authority


Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog