Tea Board of Tanzania (TBT) Jobs in Tanzania Dereva daraja ii Carreer opportunities in Tanzania vacancies in Tea Board of Tanzania (TBT) at Tanzania


POST DEREVA DARAJA II - 1 POST

POST CATEGORYS DRIVER'S
EMPLOYER Tea Board of Tanzania TBT
APPLICATION TIMELINE 2021-09-08 2021-09-21
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii.Kuwapeleka watumishi kwenye maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii.Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv.Kutunza na kuandika safari zote katika daftari la safari “Log-book”;

v.Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

vi.Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu usalama na uendeshaji wa gari;

vii.Kufanya usafi wa gari; na

viii.Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana

na elimu na ujuzi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Cheti cha Kidato cha Nne Form IV na Leseni ya Daraja la E au C1 ya
uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila
kusababisha ajali. Awe amehudhuria Mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari
Basic Driving Course yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA
au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye Cheti cha
majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Tea Board of Tanzania (TBT) Jobs in Tanzania Dereva daraja ii Carreer opportunities in Tanzania vacancies in Tea Board of Tanzania (TBT) at Tanzania


Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog