Afisa kumbukumbu ii Jobs in President's Office - Records and Archives Management Department Tanzania vacancies in Tanzania at President's Office - Records


POST AFISA KUMBUKUMBU II - 1 POST

POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER President's Office - Records and Archives Management Department
APPLICATION TIMELINE 2021-09-08 2021-09-21
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu, Kutunza na kusimamia matumizi ya kumbukumbu
za Wizara, Idara

Zinazojitegemea, Vituo vya kutunzia kumbukumbu, Mikoa, Manispaa, Halmashauri
za Wilaya, Nyaraka za Taifa na Mashirika

ya Umma kulingana na mahali alipo;

ii. Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika Masjala za Wizara, Mikoa, Idara
Zinazojitegemea, Manispaa, Halmashauri za

Wilaya na Vituo vya kuhifadhia Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa;

iii. Kudhibiti mfumo wa kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, kutunza na
kusimamia matumizi yake katika Wizara, Idara

Zinazojitegemea, Asasi na Serikali za Mitaa kulingana na mahali alipo; na

iv. Kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Utunzaji na Uhifadhi wa
Kumbukumbu Records management and Archives na nyingine zinazolingana nayo
kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Awe na ujuzi wa kutumia
kompyuta.

REMUNERATION TGS.D

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Afisa kumbukumbu ii Jobs in President's Office - Records and Archives Management Department Tanzania vacancies in Tanzania at President's Office - Records


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog