Afisa mifugo msaidizi daraja ii Jobs in Livestock Training Agency (LITA) Tanzania vacancies in Tanzania at Livestock Training Agency (LITA)
POST AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA II - 2 POST
POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Livestock Training Agency LITA
APPLICATION TIMELINE 2021-09-01 2021-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kusimamia utunzaji wa Mifugo;
ii. Kuandaa taarifa za uzalishaji Mifugo;
iii. Kusimamia machunga ya mifugo katika kampasi za Wakala;
iv. Kusimamia afya za Mifugo na kuandaa taarifa za kila siku;
v. Kusimamia usindikaji wa mauzo ya mazao ya Mifugo;
vi. Kusimamia utunzaji wa Ndama;
vii. Kusimamia ujenzi na usafi wa mabanda ya Mifugo;
viii. Kusimamia uzalishaji na utuzaji wa malisho;
ix. Kuandaa mahitaji kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo; na
x. Kufanya kazi zingine zitakazotolewa na viongozi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Stashahada katika fani ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo Animal Health and
Production kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na awe
amesajiliwa na Baraza la Vetenari Tanzania. Awe na ufaulu wa angalau daraja la
pili la juu upper second kuanzia G.P.A 3.5 na kuendelea.
REMUNERATION LITAS3
Login to Apply
Please see how to apply below
Read and Apply Now Through
URL Link to Apply
Afisa mifugo msaidizi daraja ii Jobs in Livestock Training Agency (LITA) Tanzania vacancies in Tanzania at Livestock Training Agency (LITA)
Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog
0 Response to Livestock Training Agency (LITA) Tanzania Afisa mifugo msaidizi daraja ii Jobs