Afisa mifugo msaidizi daraja la ii Jobs in Tanzania Livestock Research Institute(TALIRI) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Livestock Research Insti


POST AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II - 3 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Livestock Research InstituteTALIRI
APPLICATION TIMELINE 2020-12-29 2021-01-11
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

-->Atafanya uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo kwa wafugaji wa eneo lake
-->kwa kushirikiana na wakaguzi wa Afya, atakagua nyama na usafi wa Machinjio mara kwa mara.
-->Atakusanya Tankwimu ya nyama na Mazao yatokanayo na Mifugo kama ngozi na kuandika ripoti.
-->Atatibu Magonjwa ya Mifugo chini ya usimamizi wa Daktari wa Mifugo na kushauri Wafugaji jinsi ya kukinga Mifugo dhidi ya Magonjwa.
-->Atatembelea Wafugaji mara kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalamu katika eneo lake la kazi.
-->Atakusanya Tankwimu zote za maendeleo ya Mifugo katika eneo lake.
-->Atashauri na kusimamia ujenzi wa Majosho, Machinjio, Vibanio na Miundo mbinu inayohusiana na ufugaji bora.
-->Atasimamia uchanganyaji dawa josho.
-->Atahusika na uhamilishaji na uzalishaji wa mifugo kwa ujumla.
-->Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha Maziwa na utunzaji wa Ndama.
-->Atafanya kazi zingine za fani yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

kuajiriwa wahitimu kidato cha Sita VI waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya
Mifugo kutoka chuo cha kilimo na Mifugo au chuo kingine chochote kinacho
tambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Afisa mifugo msaidizi daraja la ii Jobs in Tanzania Livestock Research Institute(TALIRI) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Livestock Research Insti


Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog