Jobs in Dodoma Tanzania Tanzania Livestock Research Institute(Taliri) Jobs in Dodoma Afisa Mifugo Msaidizi Daraja X3 Jobs in Dodoma at Tanzania Livestock Research Institute(Taliri) Afisa Mifugo Msaidizi Daraja X3 Employment opportunities Tanzania Livestock Research Institute(Taliri)




POST AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II – 3 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Livestock Research InstituteTALIRI
APPLICATION TIMELINE 2020-12-29 2021-01-11
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Atafanya uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo kwa wafugaji wa eneo lake
kwa kushirikiana na wakaguzi wa Afya, atakagua nyama na usafi wa Machinjio
mara kwa mara.
Atakusanya Tankwimu ya nyama na Mazao yatokanayo na Mifugo kama ngozi na
kuandika ripoti.
Atatibu Magonjwa ya Mifugo chini ya usimamizi wa Daktari wa Mifugo na kushauri
Wafugaji jinsi ya kukinga Mifugo dhidi ya Magonjwa.
Atatembelea Wafugaji mara kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalamu
katika eneo lake la kazi.
Atakusanya Tankwimu zote za maendeleo ya Mifugo katika eneo lake.
Atashauri na kusimamia ujenzi wa Majosho, Machinjio, Vibanio na Miundo mbinu
inayohusiana na ufugaji bora.
Atasimamia uchanganyaji dawa josho.
Atahusika na uhamilishaji na uzalishaji wa mifugo kwa ujumla.
Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha Maziwa na utunzaji wa Ndama.
Atafanya kazi zingine za fani yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

kuajiriwa wahitimu kidato cha Sita VI waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya
Mifugo kutoka chuo cha kilimo na Mifugo au chuo kingine chochote kinacho
tambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C



Apply Through









URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3243

Closing Date 1st January, 2021.



Jobs in Dodoma Tanzania Tanzania Livestock Research Institute(Taliri) Jobs in Dodoma Afisa Mifugo Msaidizi Daraja X3 Jobs in Dodoma at Tanzania Livestock Research Institute(Taliri) Afisa Mifugo Msaidizi Daraja X3 Employment opportunities Tanzania Livestock Research Institute(Taliri)


Thank you very much for Visiting mkaguzi.blogspot.com