Afisa mipango daraja la ii –(planning officer ii) Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Bahi


POST AFISA MIPANGO DARAJA LA II –PLANNING OFFICER II - 1 POST

POST CATEGORYS BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES
HR & ADMINISTRATION
LAND MANAGEMENT
PROJECT, PLANNING AND POLICY MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
APPLICATION TIMELINE 2021-07-20 2021-08-02
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandaa taarifa ya miradi na mipango ya maendeleo, idadi ya watu,
rasilimali watu, maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili
na uwekezaji na fedha;
ii. Kuwasaidia wananchi kuandaa mpango shirikishi wa jamii;
iii. Kubainisha vipaumbele vya ustawi wa maendeleo ya jamii, mazingira
endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
iv. Kuandaa taarifa za tathmini za athari za mazingira zinazotokana na miradi
Enviromental Impact Assessment – eia;
v. Kukusanya taarifa kwa ajili ya uandaaji wa mipango na bajeti;
vi. Kukusanya na kuweka kumbukumbu za idadi ya watu na rasilimali watu; na
vii. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha Major katika mojawapo ya
fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya
Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu Population and Development
Planning, Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha, Mipango ya Menejimenti
ya Rasilimali watu, Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na
Maendeleo ya Uchumi.

REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Afisa mipango daraja la ii –(planning officer ii) Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Bahi


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog