Halmashauri ya Wilaya ya Same Carreer opportunities in Tanzania Afisa ugavi msaidizi Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Same
POST AFISA UGAVI MSAIDIZI - 1 POST
POST CATEGORYS PROCUREMENT & LOGISTIC MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Same
APPLICATION TIMELINE 2021-09-01 2021-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza ghala la vifaa lenye thamani nyingi;
ii. Kupokea vifaa vipya vitakavyoletwa na wazabuni mbalimbali na kupokea vifaa
ambavyo vimetumika lakini vinahitaji kutunzwa kabla ya kufutwa;
iii. Kufungua na kutunza “Bin Card” kwa kila kilichopo ghalani;
iv. Kufungua ledger ambayo itatunza kumbukumbu ya vifaa vilivyoingia, kutunzwa
na kutoka kwa nyaraka mbalimbali;
v. Kutoa vifaa kwa wateja na watumiaji wengine;
vi. Kuhakikisha kwamba ghala na vifaa vilivyomo vinatunzwa katika hali ya
usafi na kwa usalama;
vii. Kuandaa hati za kupokelea vifaa; na
viii. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Stashahada ya Ugavi/Ununuzi au Biashara iliyojiimarisha kweye Ununuzi na Ugavi
kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au sifa inalingana na hiyo
inayotambuliwa na Bodi ya Wataalamu wa Ugavi na Ununuzi nchini. Awe
amesajiliwa na PSPTB kama “Procurement and Supplies Technician” au
“Procurement and Supplies Full Technician” na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Now Through
URL Link to Apply
Halmashauri ya Wilaya ya Same Carreer opportunities in Tanzania Afisa ugavi msaidizi Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Same
Welcome back to Mkaguzi Blog
1 Response to Afisa ugavi msaidizi Jobs in
Jinsi ya kutuma maombi