Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Carreer opportunities in Tanzania Afisa mifugo daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa


POST AFISA MIFUGO DARAJA II - 1 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
APPLICATION TIMELINE 2021-02-19 2021-03-04
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuratibu mipango ya uzalishaji mifugo wilayani;

ii.Kuratibu uzalishaji wa mifugo katika mashamba makubwa ya mifugo;

iii.Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo
Wilayani;

iv.Kuratibu na kuendesha mafunzo ya ufugaji bora, usindikaji wa mazao ya
mifugo kwa wataam wa mifugo na wafugaji;

v.Kufanya mapitio na marekebisho ya miundo ya masoko ya mifugo Wilayani kwake
na Mkoani;

vi.Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo Wilayani;

vii.Kufanya soroveya ya rasilimali resource survey kama vile mifugo, vyakula
vya mifugo, malisho katika eneo lake la kazi;

viii.Kuendesha mafunzo kwa Mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama
katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo;

ix.Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali ;

x.Kufanya utafiti juu ya uharibifu wa mazingira katika wilaya;

xi.Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe
waharibifu wa malisho;

xii.Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo;

xiii.Kufuatilia, kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa
mifugo; na

xiv.Kufanya kazi nyingine zinazohusiana na fani yake kama atakavyoelekezwa na
Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Mifugo Animal Science kutoka
Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali au sifa inayolingana nayo.

REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Carreer opportunities in Tanzania Afisa mifugo daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog