Mhifadhi wanyamapori daraja iii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Touris


POST MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA III - 1 POST

POST CATEGORYS TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYER Ministry of Natural Resources and Tourism
APPLICATION TIMELINE 2021-02-19 2021-03-04
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi;

ii.Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi;

iii.Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha;

iv.Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori;

v.Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali;

vi.Kufanya usafi na ulinzi wa kambi;

vii.Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi;

viii.Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani;

ix.Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya
takwimu zao;

x.Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya
Nchi;

xi.Kudhibiti wanyamapori waharibifu;

xii.Kudhibiti moto kwenye hifadhi; na

xiii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Wahitimu wa Kidato cha Nne au kidato cha Sita wenye Astashahada ya Uhifadhi
Wanyamapori Technician Certificate in Wildlife Management kutoka Chuo cha
Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Mhifadhi wanyamapori daraja iii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Touris


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog