Afisa vipimo daraja la ii Jobs in WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA) Tanzania vacancies in Tanzania at WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Ag
POST AFISA VIPIMO DARAJA LA II - 150 POST
POST CATEGORYS MANUFACTURING
EMPLOYER WAKALA WA VIPIMO Weight and Measure Agency-WMA
APPLICATION TIMELINE 2021-03-04 2021-03-19
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukagua, kuhakiki na kuvirekebisha vipimo vya wafanyabiashara;
ii.Kutunza na kuhifadhi vifaa vya kitaalam vitumikavyo katika utendaji wa
kazi;
iii.Kutoa ushauri kuhusu masuala ya uhakiki na matumizi ya vipimo;
iv. Kufanya upelelezi kuhusu ukiukwaji wa Sheria ya vipimo;
v.Kupokea na kufanyia kazi malalamiko ya wadau na wateja; na
vi.Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana
na elimu na ujuzi wake wa kazi;
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Shahada au Stashahada ya juu katika fani ya Metrolojia Degree/Advanced
Diploma in Legal and Industrial Metrology kutoka Chuo kinachotambuliwa na
Serikali.
REMUNERATION Kwa kuzingatia ngazi za mishahara y
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application Through
URL Link to Apply
Afisa vipimo daraja la ii Jobs in WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA) Tanzania vacancies in Tanzania at WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Ag
For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog
0 Response to Jobs in at WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA)