Halmashauri ya Mji Nanyamba Carreer opportunities in Tanzania Mtekinolojia (maabara) daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Mji Nanyamba
POST MTEKINOLOJIA MAABARA DARAJA II - 1 POST
POST CATEGORYS HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
EMPLOYER Halmashauri ya Mji Nanyamba
APPLICATION TIMELINE 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kupima sampuli zinazoletwa maabara
ii. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za
ngazi za juu;
iii. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara , vitendanishi, vifaa, kemikali na
hifadhi ya kemikali;
iv. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi;
v. Kufundisha watumishi walio chini yake;
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na
elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
> Kuajiriwa wenye Stahahada katika fani ya Uteknolojia Maabara ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na barazaMaabara.
REMUNERATION TGHS B
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application to
URL Link to Apply
Halmashauri ya Mji Nanyamba Carreer opportunities in Tanzania Mtekinolojia (maabara) daraja ii Jobs opportunities in Tanzania at Halmashauri ya Mji Nanyamba
Welcome back to Mkaguzi Blog
0 Response to Mtekinolojia (maabara) daraja ii Jobs at Halmashauri ya Mji Nanyamba