Afisa ufugaji nyuki daraja la ii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Touri


POST AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II - 1 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Ministry of Natural Resources and Tourism
APPLICATION TIMELINE 2021-10-13 2021-10-26
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki.

ii. Kutangaza Sera na Sheria za ufungaji nyuki.

iii. Kufundisha masomo ya fani ya ufugaji nyuki.

iv. Kukusanya takwimu za rasilimali na ufugaji nyuki.

v. Kupanga na kupima ubora wa mazao ya nyuki.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

-->Kuajiriwa wenye Shahada katika fani ya Ufugaji Nyuki au Sayansi ya Elimu ya Mimea, Elimu ya Wadudu au Elimu ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.


REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application Through









URL Link to Apply


Afisa ufugaji nyuki daraja la ii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Touri


Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog