Afisa wanyamapori daraja la ii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Tourism


POST AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II - 1 POST

POST CATEGORYS TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYER Ministry of Natural Resources and Tourism
APPLICATION TIMELINE 2021-10-13 2021-10-26
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kutekeleza kazi za ushirikishaji wadau katika uhifadhi.

ii. Kudhibiti utoaji wa leseni za biashara ya nyara na vibali vya kukamata
wanyama hai.

iii. Kushiriki katika kusuluhisha migogoro ya matumizi ya wanyamapori.

iv. Kudhibiti matumizi haramu ya leseni za uwindaji na kuhakikisha kufuatwa
kwa maadili katika kutumia wanyamapori.

v. Kudhibiti matumizi haramu ya wanyamapori.

vi. Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi wanyamapori.

vii. Kuhakiki viwango vya kukamata wanyama hai kwa ajili ya biashara na
ufugaji.

viii. Kufanya kazi za kuzuia ujangili.

ix. Kukusanya taarifa, na takwimu za Uhifadhi.

x. Kutekeleza kazi za uhifadhi katika Mapori ya Akiba.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

-->Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyamapori kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.


REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Online today









URL Link to Apply


Afisa wanyamapori daraja la ii Jobs in Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Natural Resources and Tourism


Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog