Jobs in Dar es Salaam Tanzania Parliament Of Tanzania Jobs in Dar es Salaam Msaidizi Wa Maktaba Daraja La Jobs in Dar es Salaam at Parliament Of Tanzania Msaidizi Wa Maktaba Daraja La Employment opportunities Parliament Of Tanzania

POST MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORYS HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE 2020-07-24 2020-08-06

JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandikisha wasomaji;

ii. Kupanga vitabu katika rafu shelves;

iii. Kuazimisha na kupokea vitabu vilivyoazimwa;

iv. Kukarabati vitabu vilivyochakaa; na

v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamefaulu

Mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba Library Assistants Certificates Course

yanayotolewa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye Cheti

kinacholingana na hicho kutoka kwenye Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION PSSB

Send your Application Through

URL Link to Apply

[ **Submit your CV and Application on Company Website Click Here**
]http//portal.ajira.go.tz/index.php/advert/displayadvert/3025

Closing Date 8th August, 2020.

Jobs in Dar es Salaam Tanzania Parliament Of Tanzania Jobs in Dar es Salaam Msaidizi Wa Maktaba Daraja La Jobs in Dar es Salaam at Parliament Of Tanzania Msaidizi Wa Maktaba Daraja La Employment opportunities Parliament Of Tanzania

Thank you and dont forget to visit again mkaguzi.blogspot.com