Afisa ugavi msaidizi Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
POST AFISA UGAVI MSAIDIZI - 1 POST
POST CATEGORYS PROCUREMENT & LOGISTIC MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
APPLICATION TIMELINE 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza na kupanga vifaa vilivyomo ghalani katika hali ya usafi na usalama;
ii. Kupokea vifaa vilivyonunuliwa kutoka kwa wazabuni;
iii. Kupokea vifaa ambavyo vimetumika lakini vinahitaji kutunzwa kabla ya
kufutwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo;
iv. Kufungua na kutunza “Bin Card” kwa kila kifaa kilichopo ghalani;
v. Kufungua leja Ledger ambayo itatunza kumbukumbu na vifaa vinavyoingia,
kutunzwa na kutoka ghalani;
vi. Kutoa vifaa kwa wateja na watumiaji kwa kuzingatia taratibu zilizopo;
vii. Kufanya kazi zingine za zinazoendana na fani yake atakazopangiwa na mkuu
wake wa kazi,
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
> Kuajiriwa wenye Stashahada ya Ununuzi/Ugavi au Biashara iliyojiimarisha katika Ununuzi na Ugavi, kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali au sifa inayolingana na hizo inayotambuliwa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini Procurement and Supplies Professional Technician Board PSPTB, Awe amesajiliwa na PSPTB kama “Procurement and Supplies Technician” au “Procurement and Supplies Full Technician” na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Read and Apply Now Through
URL Link to Apply
Afisa ugavi msaidizi Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog
0 Response to Afisa ugavi msaidizi Jobs in