Msaidizi wa hesabu i (accounts assistant i) Jobs in Halmashauri ya Wilaya Tunduru Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya Tunduru
POST MSAIDIZI WA HESABU I ACCOUNTS ASSISTANT I - 1 POST
POST CATEGORYS ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya Tunduru
APPLICATION TIMELINE 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza daftari la fedha, matumizi kawaida na maendeleo,
ii. Kutunza nyaraka za hati za malipo,
iii. Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha,
iv. Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa,
v. Kufanya kazi zingine zinazoendana na fani yake atakazopangiwa na mkuu wake
wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
> Kuajiriwa wenye Stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au
> Kuajiriwa wenye cheti cha ATEC II inayotolewa na NBAA au sifa zingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application to
URL Link to Apply
Msaidizi wa hesabu i (accounts assistant i) Jobs in Halmashauri ya Wilaya Tunduru Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog
0 Response to Ajira Halmashauri ya Wilaya Tunduru