Fundi sanifu ujenzi daraja la ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Uyui
POST FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II - 1 POST
POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Uyui
APPLICATION TIMELINE 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba kupaka rangi na kufunga mabomba;
ii. Kuchonga vifaa vya nyumba za Serikali ikiwa ni pamoja na samani; na
iii. Kufanya kazi za upimaji survey wa barabara, majengo na mifereji kama
atakavyoelekezwa;
iv. Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama
ilivyopangwa.
v. Kupangiwa kazi nyingine kutegemeana na ujuzi, uzoefu na uwezo wa utendaji
mzuri wa kazi na Mamlaka zinazohusika katika fani husika.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
> Wahitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi wa miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za ufundi ujenzi,
> Wahitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika fani za ufundi ujenzi,
> Wenye cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya 1 kutoka Chuo cha ufundi ujenzi kinachotambuliwa na Serikali,
> Wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya ufundi ujenzi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Send your Application to
URL Link to Apply
Fundi sanifu ujenzi daraja la ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Uyui
Thank you and dont forget to visit again Mkaguzi Blog
0 Response to Fundi sanifu ujenzi daraja la ii Jobs in