Afisa mipango miji daraja la ii (town planner) Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Minist


POST AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II TOWN PLANNER - 2 POST

POST CATEGORYS LAND MANAGEMENT
EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela;
ii. Kuandaa michoro ya Mipangomiji;
iii. Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi
yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji;
iv. Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya
makazi;
v. Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi
na umegaji wa viwanja; na
vi. Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika
michoro.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada katika moja ya fani za Mipango miji, ‘Bachelor of
Science in Housing Infrastructure Planning’, na ‘Bachelor of Science in
Regional Development Planning’ kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au
Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.



REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Afisa mipango miji daraja la ii (town planner) Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Minist


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog