Fundi sanifu urasimu ramani daraja la ii Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of


POST FUNDI SANIFU URASIMU RAMANI DARAJA LA II - 1 POST

POST CATEGORYS LAND MANAGEMENT
EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya maandalizi ya uchoraji wa ramani za miji kadiri ya uwiano
unaohitajika;
ii. Kutunza kumbukumbu za ramani na plani;
iii. Kuchora plani za hati miliki, upimaji, mashamba na vijiji; na
iv. Kutoa nakala za plani za hati za viwanja, mashamba na vijiji.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya
ufundi ya miaka miwili katika fani ya Urasimu Ramani Cartography kutoka
kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Through









URL Link to Apply


Fundi sanifu urasimu ramani daraja la ii Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of


Welcome back to Mkaguzi Blog