Fundi sanifu daraja la ii (mitambo Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzani


POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II MITAMBO - AUTOMOBILE - 22 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency
TEMESA
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya matengenezo madogo na makubwa ya magari na mitambo;
ii. Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi;
iii. Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi;
iv. Kuhakikisha vifaa vya karakana na mazingira yake ni safi wakati wote;
v. Kufanya uchunguzi, kubaini, kuandaa gharama na kurekebisha matatizo ya
magari na
vi. Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

• Awe na elimu ya kidato cha sita na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili
katika fani ya Ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali,
au
• Awe na elimu ya kidato cha nne na kufuzu kozi ya miaka mitatu katika fani ya
Ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali, au
• Awe na elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Stadi Hatua
ya I Trade Test I fani ya ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa
na Serikali;
• Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu 3 wa kufanya matengenezo ya magari
madogo na makubwa /mitambo kwenye karakana /gereji iliyosajiliwa;
• Awe mchapakazi, anayejiamini na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila
kusimamiwa;
• Mwenye uzoefu kwenye matengenezo ya magari /mitambo ya kisasa atapewa
kipaumbele; na
• Uwezo wa kutumia “Auto Diagnostic Machine”.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Fundi sanifu daraja la ii (mitambo Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzani


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog