Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Afisa uvuvi daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


POST AFISA UVUVI DARAJA LA II - 2 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Wizara ya Mifugo na Uvuvi
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kutekeleza Sera ya Uvuvi;
ii. Uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao;
iii. Kuratibu na kusimamia uhifadhi wa mazingira;
iv. Kuendeleza uvunaji endelevu wa samaki na viumbe wengine wa baharini,
maziwa, mito, mabwawa na malambo;
v. Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu Uvuvi bora, utengenezaji na udhifadhi bora
wa Samaki na mazao ya uvuvi, Biashara na Masoko ya Samaki pamoja na Ufugaji wa
Samaki na viumbe wengine wa majini;
vi. Kutoa leseni za uvuvi;
vii. Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi;
viii. Kusimamia na kutekeleza Sheria za Uvuvi k.m. kuzuia uvuvi haramu;
ix. Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za uvuvi pamoja na maduhuli;
x. Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi;
xi. Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi
endelevu ya rasilimali ya uvuvi; na
xii. Kukagua ubora wa Samaki na mazao ya uvuvi na kuweka viwango vya kitaifa.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani za Sayansi ya Uvuvi Fisheries
Science/Management, Zoology, Microbiology, Marine Biology, Food Science and
Aqua culture.

REMUNERATION TGS D

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Afisa uvuvi daraja la ii Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog