Fundi sanifu msaidizi daraja la ii (maabara) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation


POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI DARAJA LA II MAABARA - 7 POST

POST CATEGORYS WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER Ministry of Water and Irrigation
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya ukaguzi wa vyanzo vya maji pamoja na kuchukua sampuli;
ii. Kufanya uchunguzi wa kifizikali, kikemikali pamoja na vijidudu physical,
chemical and bacretiological analysis ya sampuli za maji na majitaka pamoja
na hali ya kikemikali ya udongo kuhusiana na mazingira;
iii. Kufanya uchunguzi pekee wa sampuli za maji na majitaka specialised
analysis chini ya usimamizi wa Afisa wa juu; na
iv. Kukusanya taarifa na takwimu za ubora wa maji toka sehemu mbalimbali.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita vi waliofuzu mojawapo ya
mafunzo ya miaka miwili 2 ya Stashahada ya ufundi sanifu wa Maabara ya maji
au sifa zinazolingana na hizo kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Now Through









URL Link to Apply


Fundi sanifu msaidizi daraja la ii (maabara) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation


For more jobs in Tanzania visit Mkaguzi Blog