Ministry Of Health (MOH) Jobs in Tanzania Mlezi wa watoto msaidizi Carreer opportunities in Tanzania vacancies in Ministry Of Health (MOH) at Tanzania


POST MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI - 1 POST

POST CATEGORYS EDUCATION AND TRAINING
EMPLOYER Ministry Of Health MOH
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY i. Kulea watoto katika vituo vya malezi ya awali ya watoto
wadogo mchana; ii. Kutoa mafunzo kwa akina mama juu ya malezi bora ya awali ya
watoto wadogo wenye umri wa miaka 0-8; iii. Kusaidia shughuli za kinga za
magonjwa ya watoto vijijini/sehemu au eneo la kituo na iv. Kuwa kiongozi wa
kituo cha malezi ya awali ya watoto wadogo.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kulea watoto katika vituo vya malezi ya awali ya watoto wadogo mchana;
ii. Kutoa mafunzo kwa akina mama juu ya malezi bora ya awali ya watoto wadogo
wenye umri wa miaka 0-8;
iii. Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto vijijini/sehemu au eneo
la kituo na
iv. Kuwa kiongozi wa kituo cha malezi ya awali ya watoto wadogo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu mafunzo ya mwaka mmoja ya
malezi ya awali ya watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 0 hadi 8 kutoka Chuo
kinachotambulika na Serikali au wenye Cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo ya
Ustawa wa Jamii.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Ministry Of Health (MOH) Jobs in Tanzania Mlezi wa watoto msaidizi Carreer opportunities in Tanzania vacancies in Ministry Of Health (MOH) at Tanzania


Welcome back to Mkaguzi Blog