Fundi sanifu daraja la ii (water resources) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation


POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II WATER RESOURCES - 4 POST

POST CATEGORYS WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER Ministry of Water and Irrigation
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
ii. Kutunza takwimu za maji;
iii. Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na H 12 tayari kwa kutumiwa kwenye
michoro;
iv. Kuchora hydrograph za maji;
v. Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way
post”;
vi. Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
vii. Kuingiza takwimu kwenye kompyuta; na
viii. Kufundisha wasoma vipimo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana
cheti cha ufundi FTC au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa
kutumia kompyuta.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application to









URL Link to Apply


Fundi sanifu daraja la ii (water resources) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog