Mhandisi mitambo daraja la ii (mechanical engineer ii) Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in


POST MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II MECHANICAL ENGINEER II - 2 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency
TEMESA
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa mhandisi aliyesajiliwa na bodi ya
usajili wa wahandisi kama “Professional Engineer” ili kupata uzoefu
unaotakiwa;
ii. Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu magari na mitambo mbalimbali, bei za
magari na mitambo na vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi;
iii. Kuhakikisha uthamani sahihi wa kazi ili kufikia thamani ya fedha;
iv. Kupanga, Kubuni na Kutengeneza Mitambo chini Mhandisi aliyesajiliwa
Professional Engineer;
v. Kufanya usanifu na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Ufundi na Umeme
Electrical and Mechanical Projects;
vi. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika kusimamia usanifu wa kazi na
matengenezo ya mifumo ya magari/umeme na mitambo;
vii. Awe mchapakazi mwenye uwezo wa kupanga, kubaini na kusimamia uzalishaji;
viii. Kutunza vipuli na taarifa za matengenezo ya magari na mitambo;
ix. Kufanya ukaguzi na matengenezo ya kawaida na matengenezo kinga ya vifaa
vya kazi, magari na mitambo;
x. Kusanifu, kuandaa gharama na kufanya matengenezo ya miradi ya umeme na
ufundi Electrical and Mechanica Projects;
xi. Kuandaa na kutunza kanzidata ya magari na mitambo pamoja na matengenezo
yake na
xii. Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

• Awe na Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo vikuu
vinavyotambuliwa na Serikali katika fani ya Uhandisi Mitambo Mechanical na
kusajiliwa na bodi ya uhandisi kama “Graduate Engineer”

REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application to









URL Link to Apply


Mhandisi mitambo daraja la ii (mechanical engineer ii) Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog