Fundi sanifu msaidizi (auto electric) Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanz


POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI AUTO ELECTRIC - 4 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency
TEMESA
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchunguza na kubaini matatizo ya mifumo ya umeme na elektroniki kwenye
magari/mitambo na kuyatatua;
ii. Kufanya matengenezo ya vifaa vya umeme/elektroniki
kwenye magari/mitambo;
iii. Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi;
iv. Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi;
v. Kufanya usafi wa eneo la kazi na mazingira yake;
vi. Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi;

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

• Awe na elimu ya kidato cha nne katika masomo ya sayansi na kufuzu masomo ya
mwaka mmoja katika fani ya ufundi “Auto Electric” kutoka vyuo vya ufundi
vinavyotambuliwa na Serikali. au
• Awe na elimu ya kidato cha nne mwenye cheti cha majaribio ya ufundi hatua ya
II kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali katika fani ya “Auto
Electric” na
• Uwezo wa kutumia “Auto Diagnostic Machine.

REMUNERATION TGOS A

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Today Through









URL Link to Apply


Fundi sanifu msaidizi (auto electric) Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanz


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog