Fundi sanifu daraja la ii (umeme wa magari Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at


POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II UMEME WA MAGARI - AUTO ELECTRIC
TECHNICIAN - 4 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency
TEMESA
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchunguza na kubaini matatizo ya mifumo ya umeme naelektroniki kwenye
magari/mitambo na kuyatatua;
ii. Kufanya matengenezo ya vifaa vya umeme/elektroniki
kwenye magari/mitambo;
iii. Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi;
iv. Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi;
v. Kuhakikisha vifaa vya karakana na mazingira yake ni safi wakati wote;
vi. Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi; na
vii. Kufanya uchunguzi, kubaini, kuandaa gharama na kurekebisha matatizo ya
umeme katika magari kwa kutumia “Auto Diagnostic Machine”.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

• Awe na elimu ya kidato cha sita na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili
katika fani ya Ufundi Umeme wa Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na
Serikali, au
• Awe na elimu ya kidato cha nne na kufuzu kozi ya miaka mitatu katika fani ya
Ufundi umeme wa Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali, au
• Awe na elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya I
Trade Test I katika fani ya Ufundi umeme magari/mitambo kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali;
• Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu 3 wa kufanya matengenezo ya mifumo
ya umeme/elektroniki kwenye magari madogo na makubwa/mitambo kwenye
karakana/gereji iliyosajiliwa;
• Awe mchapakazi, anayejiamini na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa
na
• Mwenye uzoefu kwenye matengenezo ya mifumo ya umeme/elektroniki ya magari
/mitambo ya kisasa atapewa kipaumbele.

REMUNERATION TGS C

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application to









URL Link to Apply


Fundi sanifu daraja la ii (umeme wa magari Jobs in Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) Tanzania vacancies in Tanzania at


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog