Fundi sanifu daraja la ii (hydrolojia) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation
POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II HYDROLOJIA - 4 POST
POST CATEGORYS WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER Ministry of Water and Irrigation
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
ii. Kutunza takwimu za maji;
iii. Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na H 12 tayari kwa kutumiwa kwenye
michoro;
iv. Kuchora ‘hydrograph’ za maji;
v. Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way
post”;
vi. Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
vii. Kuingiza takwimu kwenye kompyuta; na
viii. Kufundisha wasoma vipimo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana
cheti cha ufundi FTC- Hydrology
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
Apply Online today
URL Link to Apply
Fundi sanifu daraja la ii (hydrolojia) Jobs in Ministry of Water and Irrigation Tanzania vacancies in Tanzania at Ministry of Water and Irrigation
Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog
0 Response to Fundi sanifu daraja la ii (hydrolojia) Jobs at Ministry of Water and Irrigation