Wenyeviti wa baraza la ardhi na nyumba la wilaya Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Min


POST WENYEVITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA - 3 POST

POST CATEGORYS LEGAL
EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
APPLICATION TIMELINE 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kusikiliza na kuamua migogoro yote ya Ardhi na Nyumba kwa Mujibu wa Sheria
Na.2 ya Mwaka 2002;
ii. Kusikiliza na kutoa uamuzi Rufaa kutoka Mabaraza ya Kata;
iii. Kufanya marejeo kwa mashauri yaliyosikilizwa na Mabaraza ya Kata; na
iv. Kusimamia utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya na
Mabaraza ya Kata yaliyo kwenye eneo husika.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

i. Awe na shahada ya Sheria na kuendelea kutoka Chuo Kikuu na kumaliza mafunzo
kazini Internship au Postgraduate diploma kutoka Shule ya Sheria Tanzania;
ii. Awe mwaminifu;
iii. Awe na msimamo mtu asiyeweza kuyumbishwa;
iv. Awe hajawahi kushitakiwa katika mahakama yeyote na kupatikana na hatia; na
v. Awe na uzoefu wa miaka mitano 5 katika masuala ya Sheria na kutolea
uamuzi.

REMUNERATION LSSE. 2

Login to Apply
Please see how to apply below



Read and Apply Now Through









URL Link to Apply


Wenyeviti wa baraza la ardhi na nyumba la wilaya Jobs in Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development Tanzania vacancies in Tanzania at Min


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog