Mkadiriaji ujenzi daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC) Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC)


POST MKADIRIAJI UJENZI DARAJA II - 1 POST

POST CATEGORYS LAND MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nzega NZEGA DC
APPLICATION TIMELINE 2021-06-07 2021-06-20
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mkadiriaji Ujenzi aliyesajiliwa na Bodi
ya usajili husika kama “Professional Quantity Surveyor” ili kupata uzoefu
unaotakiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha Mkadiriji
Ujenzi kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayomhumsu;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu miradi mbalimbali kuhusu bei za vifaa
vya Majengo ndani na nje ya nchi;

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi project proposals mbali mbali ya Majengo
yanayowasilishwa kwenye Halmshauri ya Wilaya na kutoa ushauri unaotakiwa; na

v.Kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Ukadiriaji ujenzi Bachelor in
Quantity Surveying kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Through









URL Link to Apply


Mkadiriaji ujenzi daraja ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC) Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC)


Please share to your friends our blog Mkaguzi Blog