Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Mhudumu wa boti(re-advertised) Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


POST MHUDUMU WA BOTIRE-ADVERTISED - 1 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Wizara ya Mifugo na Uvuvi
APPLICATION TIMELINE 2021-05-26 2021-06-08
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kulinda boti/meli;

ii.Kutunza usafi wa meli/boti;

iii.Kutunza usafi wa vyombo vya kuvulia samaki;

iv.Kufanya ukarabati mdogo wa meli/boti ya uvuvi na

v.Kuegesha boti dogo la uvuvi kam inavyotakiwa.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne IV wenye cheti cha uvuvi kutoka Chuo
cha Uvuvi Nyegezi au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGSC

Login to Apply
Please see how to apply below



Send your Application to









URL Link to Apply


Wizara ya Mifugo na Uvuvi Carreer opportunities in Tanzania Mhudumu wa boti(re-advertised) Jobs opportunities in Tanzania at Wizara ya Mifugo na Uvuvi


Welcome back to Mkaguzi Blog