Afisa kilimo msaidizi daraja la iii. Jobs in Tanzania Agricultural Research Institute (TARI) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Agricultural Researc


POST AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III. - 3 POST

POST CATEGORYS FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute TARI
APPLICATION TIMELINE 2021-05-26 2021-06-08
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kushirikiana na Wakulima kuendesha mashamba ya majaribio na mashamba
darasa;

ii. Kutembelea Wakulima/vikundi vya Wakulima katika mashamba yao na kutoa
ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na za kisasa za kilimo cha kibiashara;

iii. Kufundisha na kuwaeleza Wakulima juu ya matumizi bora ya mbolea, madawa
na zana za kilimo;

iv. Kukusanya na kutunza takwimu za hali ya kilimo katika Kijiji;

v. Kubuni na kuandaa vihenge vya kisasa vya hifadhi ya mazao na kutoa elimu
ya matumizi sahihi ya mazao;

vi. Kutoa taarifa juu ya dalili za kuwepo visumbufu vya mimea na mazao;

vii. Kuandaa na kutumia daftari la kilimo katika kutekeleza majukumu yake ya
kila siku;

viii. Kushiriki katika mchakato wa kuibua fursa na vikwazo vya maendeleo na
kuandaa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo wa kijiji; na

ix. Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya kila mwezi na kuiwasilisha kwa Afisa
Ugani wa kata na nakala kuiwasilisha kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne IV wenye Astashahada ya Kilimo kutoka
vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below



Apply Now Through









URL Link to Apply


Afisa kilimo msaidizi daraja la iii. Jobs in Tanzania Agricultural Research Institute (TARI) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Agricultural Researc


Thank you very much for Visiting Mkaguzi Blog